Shule
"Shule"
Asubuhi kumekuja kwetu;
Wanagenzi kupiga guu.
Hadi lango la shule.
Mama na baba kwaheri,
Sasa ni wajibu wangu.
Kitabu na kalamu.
Ala zangu kukomboa familia;
Kwaheri nyote.
Tuonane jioni mwalimu.
Anatamani mwanafunzi;
Tajiri anakutaka baba.
Shamba na nyumba kwa nyoka.
Mama kwaheri kwaheri;
Yangu tamati.
Ndugu na kaka kwaheri.
Mwandishi Alberto Nyangaresi
Taifa Kenya 🇰🇪
Tarehe 02/06/025
Comments
Post a Comment