Dunia
"Dunia"
Ni lipi kwako ? Mawazo yanizonga.
Hari sio hari tena.
Manani wangu uuuu! Wapi ?
Dunia nipe sikio.
Mapenzi sio raha tena! Maji mafuta;
Wapenzi nipe nakara.
Wazee sioni mwanga kwangu.
Dunia nipe sikio.
Eeeeh yesu wangu,mwanga agu;
Nipe tumaini...moyo wapendo.
Zote nishapiga, nipe moyo...
Dunia nipe sikio.
Kituo napiga guu, kwangu ghulamu,
Manani nibariki, niwe mwanga,
Kushoto na kulia sina la kwamba,
Dunia nipe sikio.
Mwandishi: Alberto Nyangaresi
Tarehe: 12/06/025
Taifa: Kenya
Comments
Post a Comment